Jumamosi, 27 Agosti 2016

Mch. Msigwa Atoa Kali Kuhusu Ukuta

Ni kuelekea katika Maandamano yaliyopewa jina la Ukuta yanayoratibiwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ambapo yamepamgwa kuanza tarehe 1 ya mwezi wa 9 Aidha mbunge wa Iringa Mjini Mch. Peter Msigwa (Chadema) ametoa kali mara baada ya kuandika katika kurasa yake ya

Twiter kuhusu Maandamano ya Ukuta Mch.Msigwa alisema kuwa "Mwanasiasa wa  wa upinzani Tanzania kama anaogopa kukamatwa na Polisi ahamie CCM Huu ndio wakati wa kutofautisha BOYS FROM MEN".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni