GRIEZMANN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA LA LIGA 2015-2016
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Atletico madrid Antoine Griezmann amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa la liga kwa mwaka 2015-2016. Tuzo hizo zilitolewa usiku wa jana nchini Spain huku mshambuliaji wa Fc Barcelona Luis suarez akinyakua tuzo ya mchezaji bora wa dunia La liga. kipa Jan oblak amechukua tuzo ya golikipa bora wa La liga na kiungo wa Real Madrid Luka modric akichukua tuzo ya kiungo bora wa La liga na tuzo ya beki bora wa msimu wa La liga akichukua Diego Godin wa Atletico madrid huku kukiwa na upinzani mkubwa katika upande wa makocha Diego simeone alifanikiwa kuchukua tuzo ya kocha bora wa La liga 2015-2016.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni