Jumatano, 18 Mei 2016

liverpool yapigwa fainali ya europa league



Timu ya liverpool ya england imejikuta  ikipigwa kichapo kikali kutoka kwa waspain wa sevilla \wakishuhudia timu hiyo ikichukua ubingwa wa europa league aa kukatisha ndoto za liverpool kushiriki mashindano ya uefa hapo mwakani.,timu hiyo ambayo inanolewa na kocha mkongwe Jurgen Klopp ilianza kujipatia goli kupitia mshambuliaji wao Danny Sturrige hadi kipimdi cha kwanza kinamalizika liverpool ilikuwa inaogoza kwa bao moja, ingwe ya pili ya mchezo ilianza kwa kasi sana na mnamo dakika ya 46 vijana wa sevilla walipata gori la kusawazisha goli lililofungwa na Gameiro akimalizia pasi safi kutoka kwa Mariano,Magoli mengine mawili yaliwekwa kimiani na Coke dakika ya 64 na 70, Na mchezo ukimalizika kwa mabao 3-1 na vijana wa kocha Unai Emery kujinyakulia ubingwa huo katika
kiwanja cha st.jacob pack dubai.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni