Headline Za Magazeti Leo Sept 3
Ikiwa ni tarehe 3 ya mwezi wa 9 mwaka 2016 zikiwa zimepita siku mbili tangu kulivyotokea tukio la kihistoria la kupatwa kwa Jua huko Ludewa Mkoani Mbeya leo baadhi ya magazeti yameamka na habari kubwa katika kurasa zao za mbele ikiwa ni kuonyesha zilivyochukua nafasi kwa siku hii ya leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni