Jumapili, 4 Septemba 2016

Hotel Ya Nyota Tatu Arusha Yapigwa Mnada

Kumekuwa na ongezeko kubwa la Hotel kufungwa nchini huku nyingine zikibadilishwa matumizi na kuwa vyuo, hostel au matumizi mengine. Hali hii  imeendelea kuwa mbaya huku hotel kubwa ya kitalii ya Nyota Tatu ya Snow Crest iliyopo jijini Arusha itapigwa mnada tarehe 23/ 9 /2016 ikiwa ni baada ya kesi inayoendeshwa na kati ya bodi ya wadhamini ya NSSF, Hoteli ya Snow Crest na Wildlife Safaris.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni