Jumamosi, 3 Septemba 2016

Na:Fadhila Kizigo>>> Mashindano Ya Netball Taifa Yafana


Kuelekea Fainali ya Netball kitaifa Mkoani Morogoro matokeo ya mechi ambazo zimechezwa


     Jeshi-Star Vs TTPL  54-59, CMTU Vs Uhamiaji 22-71, Madini Vs Kinondoni 85-5, Polisi Arusha Vs Jiji Tanga 59=30, Arusha City Vs Ras-Kagera 85-35. Jeshi Star Vs Kinondoni 102-14, CMTU Vs Jiji Tanga 65-33, Polisi Moro Vs Madini 69-14 Polisi Arusha Vs Arusha City 54-43.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni