Staa wa zamani wa vilabu vya Fc Barcelona na Chelsea Samuel Eto'o leo June 14 2016 amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou, Eto'o amefunga ndoa na kuhudhuliwa na staa mwenzake wa Fc Barcelona Carlos Puyol na mkewe, Eto'o na mwenzake wamefunga ndoa leo Stezzano Italia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni